Byams na Kibao kipya seben ya Yesu

Gepubliceerd op 18 mei 2023 om 18:58

Katika kutayarisha kibao chake kipya, byams le professor ameangia studio katika njia ya kuwapa wanadini uonjo wa wimbo wake katika mkondo wa Seben. Katika njia ihi anaomba wanadini wote wawe tayari katika kusubiria kibwagizo hicho kutokana kwamba ana ahidi kuwaburudisha watazamani na wasikilizaji katika Bwana. Baraka tela zitaendelea kutangazwa kupitia mziki uhu ambapo pia walio na nguvu wawe tayari katika kucheza maringo ya Daudi ambapo Bwana wetu ndie aliye mbele ya yote.

Reactie plaatsen

Reacties

Er zijn geen reacties geplaatst.