Umoja radio kuja kipya mwaka ujao

Gepubliceerd op 18 mei 2023 om 19:02

Umoja radio kama ilivyokuwa natangaza habari zake huko Tanzania kambini nyarugusu, kama unavyojuwa kuna wizi uliotokea wakuiba vyombo vya radio yetu huko Tanzania.

Tulie muachia vyombo bwana Wilondja hapo kambini alionekana kuwa na malengo mengine, kwa njia hiyo alihakikisha kwamba radio inafungiwa kwanza ili isisemwe kwamba yeye ndie mwanzilishi wakuaribu radio na vichukuwa vitu vyetu. Ila alichokifanya nikwamba ali hakikisha anaficha vyombo vyetu kwa mtu mwengine ili yeye aende Canada, kwalengo lakuenda kuhanzisha radio nyingine huko.

Reactie plaatsen

Reacties

Er zijn geen reacties geplaatst.